ndugu wana jf naomba kujua ambaye alisha wahi soma online kozi za BIASHARA vyuo vya marekani maana nategemea march nianze shule
1; sijui ugumu wake na kama kuna usumbufu wa kufanya nishindwe kumaliza kozi?
Mwenye kujua anijuze ndugu zangu ,
Natanguliza shukrani