F FRELIMO Member Joined Apr 12, 2014 Posts 42 Reaction score 4 May 26, 2014 #1 Heshima ziwekwenu wanajamvi naomba kujua namna ya kujiunga na kusoma online katika chuo kikuu huria kozi ya sheria-results ni Geo-C,ENG-C,KISW-D,CIVICS-D,HIST-D,BIO-F,MATH-F dev 4-28.msaada kwa anaejua hata ushauri unatakiwa kama upo asanten.
Heshima ziwekwenu wanajamvi naomba kujua namna ya kujiunga na kusoma online katika chuo kikuu huria kozi ya sheria-results ni Geo-C,ENG-C,KISW-D,CIVICS-D,HIST-D,BIO-F,MATH-F dev 4-28.msaada kwa anaejua hata ushauri unatakiwa kama upo asanten.