Kusoma open university na vyuo vikuu vingine

Mr.creative

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2011
Posts
492
Reaction score
117
ubora wa taaluma inayotolewa na open university na vyuo vikuu vingine kama UDSM ,UDOM n.k unafanana ?
 
Tofaut ni kwamba open university hakuna kupigwa pindi.
 
kwa ubora usipime. ila wao no class, its a distance learning institution.
 
Open kuko fresh ila ni hatari kwa waliozoea kusoma kwa kuviavizia paper,lakini wengi walio hitimu pale wakocompent sana maana inawalazimu kuchimba modul za course zote very deep.
 
 
By the way masomo ni yale yale 2,ila ukizubaa unaweza kujikuta unapga 1st degree kwa miaka 20.
 
Open university elmu yao iko poa,nadhan baada ya udsm,sua hyo open ni ya 3,kina maticha wa ukwel zaid hata ya waloko mzumbe,udom,iaa,ifm na kwngneko.tatzo kinadharaulika coz wahitimu weng wa bongo wao wanajua elimu inapatkana kwenye convectional universities 2.
 
 
By the way masomo ni yale yale 2,ila ukizubaa unaweza kujikuta unapga 1st degree kwa miaka 20.
Duh!...Mkuu hii kali sana,kwa hiyo unaweza kuanza 1st degree mkeo akiwa mjamzito,then ukaja piga discussion na mwanao.lol!
kuna limit kiongozi ya muda wa kogelea katika hiyo 1st degree mkuu,haifiki miaka 20.
 
Hahahahaaaaaa,,,,,nadhan hapo ameweka chumvi lakini ukwel ni kwamba watu wengine huifanya kwa muda mrefu <br />
<br />
 
Hahahahaha duh unarudia rudia kama darasa la 4
<br />
<br />
c unajua kule wa2 wengi ni frm maofisin,wao muda wa kusoma hawana so wanapigwaga supp za kutosha..
 
Nimesoma open na ukweli ni juhudi binafsi.sio swala dogo na kwa ubora usiliongelee kabisa,tunazungumzia udsm na sua kwamba ndio best bt sijui mnatumia kigezo gn!nachojua,aliyemaliza open na kama kuku wa kienyeji anaetafuta mwenyewe kwa juhudi zake,hvy kumaliza open ni juhudi zako na aliyesema eti mpaka miaka 20 unasoma tu,ni mwongo kwani degree wameitega kwenye claster na mwisho ni miaka 6 tu so hakuna cha miaka 20.
Ukifanya masters na hao walitoka udsm na sua pamoja hasa mkasoma corze moja km pale udsm,unawapita vibaya coz ww umezoea kutafuta mwenyewe wakati wao wamezoea kupewa kwa kuku wa kisasa.usipime kabisa degree ya open.ukipata GPA 3.6 au yoyote ni ya kwako na kuangaika kwako na si ya kupewa kama huko kwingine mpk ubembeleze kwa ma prof.acha bana,open ipo juu sn.
 
Nadhani miaka saba/nane ni mwisho kama haujachukua wanakutosa.

Duh!...Mkuu hii kali sana,kwa hiyo unaweza kuanza 1st degree mkeo akiwa mjamzito,then ukaja piga discussion na mwanao.lol!
kuna limit kiongozi ya muda wa kogelea katika hiyo 1st degree mkuu,haifiki miaka 20.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…