Kusoma open university na vyuo vikuu vingine

Hivi Nyie Hawa Maticha wa Ukweli Mnawapima Vipi???..Umejuaje kama Kinadharaulika??..wewe mwenyewe Nadhani ni Muumini wa Hizo Classical/Convetional Univ!!

Kiko fresh kwakuwa unajitafutia nondo mwenyewe na haujui mwl atakuja vip. Lazma uwe competent.

Hayo mengine ya kutafuta wenyewe nakubali maana watu wa ipen washawah kunambia,lakini la kubembeleza hilo......mmmm mimi siliafik sana hasa udsm,sijawah liona hilo mdau au kwa sababu ni mwanaume,,,,,,ila tu nime xperience stress

Kila mtu anavutia kwake. KUna Madam mmoja alikuwa Mwalimu katika Shule niliyosoma A level basi kila assignment za history nilikuwa namfanyia mimi na akafanikiwa kupata Shahada. Kwamba hakuna walimu bora hilo halina ubishi lakini sio kuzidi UDSM na SUA tusiwe biased kiasi hicho. Tatizo la kuvujisha mitihani ni kubwa sana pale OUT na misplacement za Assignment ni kawaida sana. Sometimes inafikia wakati wa graduation mtu anaambiwa hawezi ku graduate kwa kuwa kuna incomplete courses. Hata hivyo OUT ni Chuo Kizuri kama vilivyo vingine na mapungufu laiyopo yapo pia Udsm na kwingineko

Gerrad Assigment zimefutwa siku hizi kuna timed tests na Annual Exams.

Ntajiunga next yr

Gerrad Assigment zimefutwa siku hizi kuna timed tests na Annual Exams.
Hilo haliondoi ukweli kwamba nilikuwa namfanyia assignments Mwalimu enzi hizo hiyo ndio hoja yangu Mkuu. Kama wamefuta itakuwa bora zaidi. Ila wapunguze kuzamia lectures maeneo ya Theatre 1, 2 na Nkrumah pale UDSM

Walim weeeng wa ud wanafundisha vyuo mbalimbali hapa tz si open tu,tulikua na mwalim wetu pamoja na kwamba alijiriwa ud lakin alikua akifundisha UDOM,ST JOHN,TUMAIN,NA ARUSHA UNIV,,,,,,HAKUWA AKITULIA HATA......

Point yangu ni kwamba wanafunzi wa OUT wanazamia kwenye lecture za Ud na wengine hata hostel wanagongea Mabibo hiyo ndio concern yangu. Kuhusu kufundisha sio hapa TZ tu wengine kama Mukandala walikuwa wanapiga Part-Time hata nje ya nchi

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…