Kusoma Shahada ya uzamivu bila kusoma uzamili

Kusoma Shahada ya uzamivu bila kusoma uzamili

kwini

Member
Joined
Dec 31, 2011
Posts
39
Reaction score
5
Ndugu wanajamvi naomba kuelimishwa kidogo kupitia swali lifuatalo:

Kuna uwezekano wa mtu kufanya Phd bila kupitia Masters? Na kama jibu ni ndio ni katika mazingira gani hasa?

Nauliza hivi sababu nilisoma juzi kwenye gazeti Grace Mugabe yuko mbioni kufanya shahada ya uzamivu akiwa na shahada ya kwanza ya lugha ya kichina aliyosoma kwa njia ya masafa.

Atafanya Phd hiyo yenye mwelekeo wa mambo ya kijamii chini ya usimamizi wa mwanataaluma kipenzi cha ikulu.

Naomba kuelimishwa.
 
It is possible...but sina maelezo ya kutosha.
 
Ama kweli we ni sumu...anyway haikuwa lazima ujibu km huna mwanga.
 
Waulize wafuatao.
Dr. Salmin Amour Juma
Dr. Lawrence Gama ukiona hao ni wazee muulize huyu mwenye feki iliyodhibitishwa juzi kati.
Dr. Mhe. Mbunge wa Segerea miguu ya ng'ombe inayochemshwa bar.
wasipokupa majibu ya kutosha njoo tena nikiongezee dozi.
 
Ha haa!inatosha mkuu, hii tayari ni overdoze
 
Waulize wafuatao.
Dr. Salmin Amour Juma
Dr. Lawrence Gama ukiona hao ni wazee muulize huyu mwenye feki iliyodhibitishwa juzi kati.
Dr. Mhe. Mbunge wa Segerea miguu ya ng'ombe inayochemshwa bar.
wasipokupa majibu ya kutosha njoo tena nikiongezee dozi.

umemsahau huyu jamaa yetu aneyeishi pale mgogoni, kwenye lile kasri letu liitwalo kulu. nadhani si vibaya naye akaulizwa ilikuwaje akapata shahada ya uzamivu bila kupiga mbizi, bila kupiga vikombe kadhaa.
 
Kikwete njoo utoe mwongozo huku kwa sababu wewe ni mzoefu wa shahada kitola, au bado upo ban!
 
Last edited by a moderator:
nimecheka kidogo nife si utani yaani makongoro mahanga mnamwiita miguu ya ng'ombe ile inayochemshwa asubuhi bar sina mbavu mie zimevunjika zote kesho naenda pigwa x ray
 
Waulize wafuatao.
Dr. Salmin Amour Juma
Dr. Lawrence Gama ukiona hao ni wazee muulize huyu mwenye feki iliyodhibitishwa juzi kati.mz
Dr. Mhe. Mbunge wa Segerea miguu ya ng'ombe inayochemshwa bar.
wasipokupa majibu ya kutosha njoo tena nikiongezee dozi.
dah! Mahanga umeuaaaaa!!
 
It depend unasomea wapi, US they have a system where kids come from undergrads straight into PhD which take them not less than five years. Infact some schools in specific programs, hawana hata hiyo Masters ni Phd straight, mfano I have a friend yuko University of Notre Dame anafanya PhD in either chemistry or chemical engineering straight from undergraduate. Kwa bongo sidhani kama is possible to do that!
 
Waulize wafuatao.
Dr. Salmin Amour Juma
Dr. Lawrence Gama ukiona hao ni wazee muulize huyu mwenye feki iliyodhibitishwa juzi kati.
Dr. Mhe. Mbunge wa Segerea miguu ya ng'ombe inayochemshwa bar.
wasipokupa majibu ya kutosha njoo tena nikiongezee dozi.

Dr Henry daffa Shekifu....huyu hata cheti cha form six hana lakini mwaka juzi kagraduate pHd.
 
mhhh inawezekana kweli?mana kama vipi tujitose na sie
 
Back
Top Bottom