Kusoma si lazima maandishi hata picha pia.

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Juzi kati tulipata mwaliko wa harusi Mimi na yule shost wa kusukana nywele Huku kwetu Kwamtogole. Shost ni housegirl kwenye nyumba ya pedeshee, sasa mtoto wa boss wake anaolewa ndiopo Sky Eclat alipopata nafasi ya kuiona Double Tree Hilton

Baada ya kula na kunywa, kibofu kilikuwa kimeoverload. tulishauriana na shost kwenda chooni kwa zamu ili tulinde vinywaji vyetu.

Shost ametangulia maana hali yake ilikuwa mbaya , sasa ananiambia amefika kule ilibidi aangalie kwanza wanawake wanatokea ipande gani maana hili neno ladies and gentlemen kulikuwa msamiati
 

Pombe si nzuri,licha ya kiimani hata kiafya hasa kwa MWANAMKE

May Allah bless Me and You
 
kweli wa kwa mtogole wewe
 
Duhhhhhhhhhhh!!! [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]


Mahondaw wa Smart911
 
Mwanamke kukosea choo na kuingia cha kiume hakuna ubaya sana...

Ubaya ni pale mwanaume anapokosea choo na kuingia cha kike...

Double Tree reminds me of those days...


Cc: mahondaw

Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…