The Greater One
New Member
- Mar 2, 2024
- 3
- 2
Combination zote za arts na business anaenda pia CBG, CBN na CBA pia anaenda lakini kama uwezo upo aende chuo akapige diploma ya pharmaceutical sciences.Kuna binti mmoja mtoto wa dada yangu amehitimu kidato cha nne kwa matokeo yafuatayo;
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D' na anapenda kusoma advance akaniomba nimshauri asomee nini,
Sasa wakuu ninyi mnashauri vipi?
GoodCombination zote za arts na business anaenda pia CBG, CBN na CBA pia anaenda lakini kama uwezo upo aende chuo akapige diploma ya pharmaceutical sciences.
Aende CBG then kama yupo vizur aende SUA akapige BSc. Agriculture General hatojutia... NB:Awe tayari na Shule ya kutosha SUAKuna binti mmoja mtoto wa dada yangu amehitimu kidato cha nne kwa matokeo yafuatayo;
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D' na anapenda kusoma advance akaniomba nimshauri asomee nini,
Sasa wakuu ninyi mnashauri vipi?
Kwa sasa bila kusoma physics ukiwa secondary basi sahau kuja kusoma kozi ya Pharmaceutical science ama kozi yoyote ya afya.Combination zote za arts na business anaenda pia CBG, CBN na CBA pia anaenda lakini kama uwezo upo aende chuo akapige diploma ya pharmaceutical sciences.
Big NO,unasoma pharmacy vzr tuKwa sasa bila kusoma physics ukiwa secondary basi sahau kuja kusoma kozi ya Pharmaceutical science ama kozi yoyote ya afya.
Swali la kwanza kwako mzazi, je kwanini uliruhusu form3 akiwa form3 aache physics?Kuna binti mmoja mtoto wa dada yangu amehitimu kidato cha nne kwa matokeo yafuatayo;
CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'B' B/MATH - 'D' na anapenda kusoma advance akaniomba nimshauri asomee nini,
Sasa wakuu ninyi mnashauri vipi?