Kusomea ualimu kutoka kidato cha nne

Ww ---- kweli eti that means alifel so ww ukifundshwa na falire dah mtu mzma unaandka uoozo
 
Mtu anaesomea ualumu sio kwamba alifeli masomo lahasha, alikuwa na vigezo vya kujiunga na mafunzo ya ualimu kabisa na huwa wanapewa mtihani wa kuhitimu mafunzo hayo ambapo anayefaulu anakuwa na uhakika wa kupata ajira kama kozi zingine.

Kingine ni kuhusu kozi ya ualimu cheti. Kozi hii imefutwa kwa upande wa serikali isipokuwa private wameruhusiwa waifundishe kwa mwaka huu tu.

Vyuo vya ualimu vya serikali vimeanza kutoa mafunzo ya ualimu ngazi ya diploma na advanced diploma tu ambapo mwenye kuomba mafunzo hayo anatakiwa awe na ufaulu wa mwisho div 3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…