Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Ni pale mwenzio akaribiapo kufika peak halafu anaona kabisa umemaliza nae kumuacha dillemma, ni ama hukumuandaa vema kisaikolojia na wewe unapomaliza yeye ndio anabakia ku-search peak.
Huwajibiki ipasavyo katika ukunaji
Hapana......ninamaanisha ukiwa unaendelea na ukunaji yeye aidha ana ghuna au anasonya...:lol::eyebrows::embarassed2:
Kusonya ni dalili ya kutoridhika na kitu fulani.Ikitokea kwenye mahusiano ni dalili mbaya sana. Ni vizuri umwulize sonya yake ina maana gani ili aeleze kutumia maneno yanayoeleweka ili kama kuna maudhi, yarekebishwe. Tabia ya kusonya imeenea sana hasa kwa akina mamazetu