Extrovert24
Senior Member
- Jun 23, 2022
- 144
- 211
Kwahyo unataka tumuongezee mitano tena?Wakuu mambo ni vipi wapenzi wa kabumbu.
Huyu Jamaa ni kama Bado anaubonda mwingi sana, kwanini asingeendelea kupiga mbungi??View attachment 3006428
Amesema hataki habari za mpira kwanza haupendi anacheza kama kaziJamaa kachukua world cup pale Brazil hadi Leo anastahili kupumzika anaenda kuwa kocha kifupi hataondoka uwanjani ila atakuwa upande mwingine
Ok basi tuamini kuwa anaenda kufanya biasharaAmesema hataki habari za mpira kwanza haupendi anacheza kama kazi
Inawezekana sababu hata msimu huu amecheza sababu walimuomba abaki ila alitka kustaafu last seasonOk basi tuamini kuwa anaenda kufanya biashara
Mtakatifu Luka ni bora zaid maana ananyumbulika mno...Nje kidogo ya mada... Hivi kati ya Toni Kroos na Luca Modric ni yupi bora zaidi.
Wanamuita Germany sniperKajamaa kana misimamo hako.Kanadai hakuna jipya tena wala pesa haikazuzui tena Hata msimu huu ulioisha kamecheza kwa kubembelezwa sana.Kuhusu boli kanalijua hasa pass za masafa marefu,we onesha tu unataka kaiweke wapi ,utaikuta hapo hapo ulipoomba.
😂 Eee tumjazie tuKwahyo unataka tumuongezee mitano tena?
Apo sasa, na ameubonda yanNa jana kaubonda mwingi kwelikweli! Nikabaki kujiuliza huu ufundi unaendaje kuwekwa kabatini
Dah! Kuna watu wamebarikiwa duniani na hawaoni kabisa maajabu ya baraka zao. Niliwahi kusoma makala ya Cadabra naye akisema kuwa haupendi mpira ila anacheza tu kama kazi! Imagine soka lilivyo na burudani halafu kuna wana wanacheza wakiwa kati ya top performers wa dunia na wala hawapendi!Amesema hataki habari za mpira kwanza haupendi anacheza kama kazi