Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
- Thread starter
-
- #21
Naona huko iliko ni Kahama au Rorya.Gentleman,
Ingependeza kuelezea ni eneo lipi linasuasua kwa faida ya wadau🐒
Pengine unamwona mwenyewe na miwani iliyolishiwa rushwa.barabara zote ulizozitaja mkandarasi yuko site gentleman 🐒
Hiyo ni changamoto ya kawaida gentleman, baada ya muda usio mrefu miradi ya ujenzi wa barabara hizi utakamilika na usafiri ndani ya jiji la Dar es salaam utakua rahisi mno.Naona huko iliko ni Kahama au Rorya.
Kutoka Aiport hadi Mwenge waweza kutumia masaa matatu.
Na serikali tunasema ipo.
Acha kero ya kupita mashimoni maeneo ya Mbezi.
Huo uchaguzi wanaouangalia uko wapi?huu huu wa kusimamiwa na polisi jeshi migambo na askari magereza huku ukiratibiwa na wateule wa raisi?Utekelezaji wa kazi za Ujenzi wa miradi kama hiyo inahitaji cash flow nzuri pia
Kutokana na focus kubwa ya Serikali kuwa ni Uchaguzi, nina hisi huenda flow ya Fedha una athiri Kasi ya Ujenzi wa huo Mradi
Juzi akiwasilisha makadirio ya mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa, Mkwe alisema alitumia bilioni zaidi ya 250 kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pekeeHuo uchaguzi wanaouangalia uko wapi?huu huu wa kusimamiwa na polisi jeshi migambo na askari magereza huku ukiratibiwa na wateule wa raisi?
Nilimuelewa sana Cap Traoré aliposema Africa na demokrasia hakuna kitu so cha kufanya sa100 akae chini na jeshi lake aseme kama anataka yeye na mumewe (kama anaye) watawale maisha tujue hizo hela wanazojifanya kupeleka kwenye uchaguzi ambao wanajua kabisa wao ndiyo washindi wazielekeze kwenye huduma za kijamii.
Tatizo lipo kwetu sio wao.Wapigwe chini, wapewe wajapan.