Kusudi la mimi kuwepo duniani ni lipi?

Kabla ya kuwa duniani,sikuwepo kabisa
 
[emoji120]
 
Kusud kumuabudu MUNGU
Hapo unahamisha magoli tu.
Ni sawa na mtu kuuliza kazi ya usukani ni nini? Wewe umjibu kazi yake ni kukunja tairi kulia na kushoto..
Sasa dhumuni la kukunja matairi kulia na kushoto ni nini?
Utasema ni kuliongoza gari linapotembea.

Sasa umesema lengo la kumuumba binadamu ni ili mungu aabudiwe...
Sasa mimi nakuuliza lengo la ibaada kwa mungu ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…