Kusudio la kufutwa kwa makampuni Tanzania

bhuha

Member
Joined
Feb 10, 2017
Posts
39
Reaction score
31
Msajili wa makampuni anakusudia kufuta makampuni zaidi ya 5000 yasiyohuisha taarifa zao kwa njia ya mfumo (Brela ORS) ndani ya siku 30 kutoka tarehe ya tangazo.

Kupata orodha ya makampuni yenye kusudio la kufutwa tembele www.brela.go.tz

Kwa yeyote mwenye kupata ugumu wa kuhuisha taarifa za kampuni yake wasiliana nasi kwa namba 0752091896 tuweza kukupatia msaada wa haraka.
AhsanteniView attachment 2248803

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…