Kusuka au kunyoa kwa Man City

Kusuka au kunyoa kwa Man City

RAKI BIG

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2020
Posts
394
Reaction score
456
Manchester City wanaelekea katika moja ya wiki kubwa kuwahi kutokea katika historia yao wakijua kwamba , heshima yao , nafasi yao ya kucheza ligi ya mabingwa ulaya na kikosi chao cha msimu ujao , vyote hivyo vipo hatarini kupotea

Kesho jumatatu, rufaa yao dhidi ya kifungo cha kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa misimu miwili mfululizo itasikilizwa rasmi na Mahakama ya usuluhishi ya michezo

Mtendaji Mkuu wa Man City Ferran Soriano amesema hivi
“ Mashabiki wawe na uhakika na vitu viwili , moja haya madai ni ya uongo , na mbili tutafanya kila linalotakiwa kufanywa kuthibitisha kwamba hatuna makosa “


102307070_2637157966559785_3476444844995232801_n.jpg
 
Man city kucheza uefa haiepukiki

Ni swala la muda tu

Pesa inaongea
 
Back
Top Bottom