Habari wakuu, wakati wa utoto wangu nilikuwa nimesikia ya kuwa magonjwa kama kisukari na cancer ni magonjwa ambayo mtu anarithi kutoka kwa mtu aliyewahi kuwa nao kwenye familia yake.
Sasa nimekuwa nikapata ufahamu ya kuwa vyakula na vitu vingine kama radiations vinaweza kusababisha magonjwa haya. Lakini kuhusu urithi wa ugonjwa bado sijapata ufafanuzi mzuri.
Hivi ni kweli kuwa mtu anaweza kurithi ugonjwa ?