Kusumbuliwa na magoti

Kusumbuliwa na magoti

middo lulyheart

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
260
Reaction score
98
Nimekua nikisumbuliwa na magoti kwa muda sasa na sifahamu tatizo wala chanzo chake,naombeni msaada wana JF.
 
Unakula sana nyama ya mbuzi ng'ombe au kitimoto ? Kapate ushauri hospital kafanye na vipimo pia usije ukawa unalea ugonjwa
 
Back
Top Bottom