middo lulyheart JF-Expert Member Joined Mar 18, 2014 Posts 260 Reaction score 98 Mar 21, 2014 #1 Nimekua nikisumbuliwa na magoti kwa muda sasa na sifahamu tatizo wala chanzo chake,naombeni msaada wana JF.
Nimekua nikisumbuliwa na magoti kwa muda sasa na sifahamu tatizo wala chanzo chake,naombeni msaada wana JF.
P periodontal Member Joined Feb 28, 2014 Posts 17 Reaction score 2 Mar 21, 2014 #2 Hayo magoti yanakusumbua vp mkuu fafanua yanauma au yana nini?
middo lulyheart JF-Expert Member Joined Mar 18, 2014 Posts 260 Reaction score 98 Mar 21, 2014 Thread starter #3 periodontal said: Hayo magoti yanakusumbua vp mkuu fafanua yanauma au yana nini? Click to expand... Ndio mkuu yananiuma hasa ninapo kunja miguu
periodontal said: Hayo magoti yanakusumbua vp mkuu fafanua yanauma au yana nini? Click to expand... Ndio mkuu yananiuma hasa ninapo kunja miguu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Mar 21, 2014 #4 Unakula sana nyama ya mbuzi ng'ombe au kitimoto ? Kapate ushauri hospital kafanye na vipimo pia usije ukawa unalea ugonjwa
Unakula sana nyama ya mbuzi ng'ombe au kitimoto ? Kapate ushauri hospital kafanye na vipimo pia usije ukawa unalea ugonjwa