Uchaguzi 2020 Kususia Bunge la Bajeti kunawanyima kura Upinzani

Unaongea kama mlevi wa mnazi tena mchana jua kali.

Mgonjwa wenu wa akili anavyojidhalilisha majukwaani kuwa aliamriwa auawe na nyie mnaitikia kinyumbu ni dalili mmeshakata tamaa ya huu uchaguzi.
Povu limezidi mpaka husikiki. Au ndio usanii.
 
Rubbish again! Hizi tunaziita poor propaganda ambazo hazina mvuto!
Usidhani unajua Sana habari za bunge la awamu ya tano lililogeuka kwaya ya mapambio ya kusifia na kupachikana majina!
Hata Kama walikuwa wakitoka nje jao wabunge kuonyesha kutokukubalianana hoja au jinsi bunge lilivyokuwa linaendeshwa kimzaha na kipumbavu, je, wabunge wenu wwliokuwa wanasalia ndani walifanya maamuzi gani ya maana? Je, waliweza kuishauri serikali Kama sehemu ya kazi yao? Jibu ni hapana, mlibaki kuunga juhudi za kuchotwa pesa bila kibali chenu na mkashangilia!
Usisahau, wananchi wa Sasa sio wajinga mliokuwa mnawatarajia wawe!
 
Fanya utafiti kidogo utapata jibu.

Upinzani ni wasaliti na hawana uzalendo
Nipe maana ya uzalendo ili nikuunge mkono! Au kwako uzalendo ni kujenga stiglergouge na flyover? Poor propaganda!
 
kama hamna cha kuwasumbua kipi kinawafanya waliandame taifa letu kwenye utawala huu baada ya kususa janja janja zao?

Linaandamwa na nani, waache kuindamana Iran inayotaka kutengeneza nyuklia, wahangaike na nchi ambayo makomandoo wanapasuliana matofali kichwani?
 
Linaandamwa na nani, waache kuindamana Iran inayotaka kutengeneza nyuklia, wahangaike na nchi ambayo makomandoo wanapasuliana matofali kichwani?
ungelijua namna mabeberu wanavonufaika na mataifa maskini usingebwabwaja kiasi hiki.
 
Umekosa kazi ya kufanya? unaanza kuokiteza umbea usiokuwa na maana!! usisahau kupaka rangi kucha zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…