Kususia kutumia miamala kuendelee

Kususia kutumia miamala kuendelee

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,790
Reaction score
288,165
Mapato ya kodi ya miamala yalitakiwa yawe 137.5 billions kwa mwezi lakini wamekusanya bilioni 48 tu chini ya nusu ya mapato yaliyostahili. KUSUSIA MIAMALA KUENDELEE. Mkumbukushe ndugu yako, jirani yako na rafiki yako.
 
Sawa
 
Tunasusia miamala ila mafuta ya kula na petrol tunatumia kama kawa😁
 
Katika hizo hela hawajala ya kwangu senti tano..mimi si mjinga kiasi hicho.

Nishaweka njia zangu za kizamani sana kufikisha hela hasa kwa ndugu zangu wa remote areas. Alternatively, payment zangu kwa sasa ni via banks

Wacha wale za wana CCM wenzao.
 
Mapato ya kodi ya miamala yalitakiwa yawe 137.5 billions kwa mwezi lakini wamekusanya bilioni 48 tu chini ya nusu ya mapato yaliyostahili. KUSUSIA MIAMALA KUENDELEE. Mkumbukushe ndugu yako, jirani yako na rafiki yako.
Tususie ile walioko vijijini waendelee na mzigo wa kujiondoa katika umaskini kwa sababu ya uhaba au ubovu wa huduma za afya!!!!
 
KUENDELEEEE !!!!!!!
 
Tususie ile walioko vijijini waendelee na mzigo wa kujiondoa katika umaskini kwa sababu ya uhaba au ubovu wa huduma za afya!!!!
Hao walioko vijijini wananihusu nini mimi?

Acha kutetea upumbavu.
 
Mapato ya kodi ya miamala yalitakiwa yawe 137.5 billions kwa mwezi lakini wamekusanya bilioni 48 tu chini ya nusu ya mapato yaliyostahili. KUSUSIA MIAMALA KUENDELEE. Mkumbukushe ndugu yako, jirani yako na rafiki yako.
Wee jamaa unakuaga DUNYA sana.
Halafu wakisusia unapata nini?

Pia tofautisha kati ya hiyo tozo mpya na kodi. Hiyo. 48 mil ni kutoka kwenye tozo mpya,kodi ya mapato ipo kivingine kabisa.

Baba askofu wako kaacha kukusugua vizuri nini,unademka huku tukuone?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapato ya kodi ya miamala yalitakiwa yawe 137.5 billions kwa mwezi lakini wamekusanya bilioni 48 tu chini ya nusu ya mapato yaliyostahili. KUSUSIA MIAMALA KUENDELEE. Mkumbukushe ndugu yako, jirani yako na rafiki yako.
Ha ha ha!!!! Watz wameongea!!!!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Mapato ya kodi ya miamala yalitakiwa yawe 137.5 billions kwa mwezi lakini wamekusanya bilioni 48 tu chini ya nusu ya mapato yaliyostahili. KUSUSIA MIAMALA KUENDELEE. Mkumbukushe ndugu yako, jirani yako na rafiki yako.
[emoji1548][emoji1752][emoji1548][emoji1752][emoji1548]
 
Mapato ya kodi ya miamala yalitakiwa yawe 137.5 billions kwa mwezi lakini wamekusanya bilioni 48 tu chini ya nusu ya mapato yaliyostahili. KUSUSIA MIAMALA KUENDELEE. Mkumbukushe ndugu yako, jirani yako na rafiki yako.
Tangu huu unyonyaji uanze, nimenyonywa mara 3 tu tena ilikuwa dharura, nilipo hapa nafikiria kuikwepa hiyo dharura.

Huwezi kumkamua ng'ombe ambaye hujamlisha/hujampeleka malishoni na utarajie kupata maziwa
 
Tangu walete hiyo tozo dhulumati, hela yangu wamekula mara 2 tu. Kwa kawaida huwa nata hela si chini ya mara 4 kwa wiki. Naendelea kutuma fedha lakini siyo kwa kutumia mitandao ya simu tena.
 
Back
Top Bottom