Kutafuna ulimi

Kutafuna ulimi

Kiraka Kikuu

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
5,903
Reaction score
1,979
Jamani,hivi tatizo la kutafuna ulimi linatokana na nini?
Tiba yake ninini?
Mie ni miongoni mwa waathirika.
 
Mambo eliah..
Mi nikiwa busy sometimes hiyo hunitokea. Wanasema ni tabia mtu anatoka nayo kuanzia utotoni. Sio ugonjwa.
 
Poa Amyner.
Huwa unajisikia comfortable mtu akikustua pale unapo kuwa unatafuna ulimi?
Mambo eliah..
Mi nikiwa busy sometimes hiyo hunitokea. Wanasema ni tabia mtu anatoka nayo kuanzia utotoni. Sio ugonjwa.
 
na kula kucha je?mpnz wng ananiuzi sana na hii tabia ya kula kucha,sijui dawa yake nini?
 
Duh kama unatafuna ulimi si utakuwa umetoboka kama tambara bovu mmmmh.............
 
Back
Top Bottom