Kiongoz anaingia madarakani.
Anaanza.
1. Kufuta ada.
2. Kuongeza madarasa.
3. Kuondoa mitihani.
4. Kuweka kitu kipya.
5. Ameona inafaa, what,why!
6. Kupaka wanja.
7. Kuvaa pensi.
8. Kupiga singeli.
Eti jangwani, Azania sekondari sio shule teule. Ref. Waliopangiwa shule za sekondari 2023
Jamani