Mimi ni kijana ambaye nimeajiriwa ambaye natafuta mchumba ambaye tukikubariana ndio ataekuwa mke wangu ili nimuoe kiukweli sina vigezo vingi ila viwili tu vinatosha 1)awe mweupe na 2)awe muislamu .mimi hapa nipo serious na kama yupo ambae yupo serious aniPM ili tuongee nae vizur