KUTAFUTIWA MKE au MUME

Joined
Jun 10, 2011
Posts
20
Reaction score
0
WAZAZI, in wezekaje mtu ambaye mm ndiye nayeoa au kuolewa mnitafutie? hapana jamani hii tabia ningependa tuikomeshe kwan inatuambisha na tuishi kwa wasiwasi je wadau mnasemaje iendeleeee au istopishwe
 
Wengine wanapenda kutafutiwa. . .
Kama hutaki komesha kwaajili yako na sio kwaajili ya kila mtu.
 
Wewe kama ni kilaza, wazazi wafanyaje! Au umezidi kudokoa watoto wa watu si lazima wazazi watafute dawa! Otherwise, you have the freedom to choose you own wife ile udokozi acha!
 
Jitahidi basi hata wazazi uwafikishie huo ujumbe. Itasaidia endapo wana mpango huo.
 
mie ninachoweza kusema ni kuwa mzazi akikichagulia haswa mama...basi huyo aliye mchagua atakuwa ana tabia nzuri anatoka kwenye familia nzuri na mwenye kujiheshimu na pia kimuonekano atakuwa ni mzuri wakuridhisha.
ila sasa wanapo kosea wazazi mara nyingi ni kwenye interest za huyo waliyemchagua na zako...mara nyingi zinakuwa tofauti na ukweli ni kwamba ndoa inadumu pale ambapo mawazo nikimaanisha mtazamo wa maisha na interest zinaendana......parents tend to forget tjis na ndio maana baadae hizi ndoa hazidumu au uwa na matatizo
 
naikemea kwajina la kutafutiwa mamanzi iisheeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…