Habari wana jf!!!!
Jana nimekutana na daktari mmoja. Katika kubadilishana mawazo ya hapa na pale, akaniuliza swali, ni kwa nini vijana walo wengi wa kizazi hiki wana matatizo ya nguvu za kiume?? Na kama zipo, asilimia kubwa ni za kuungaunga, bao moja chali na kuishia kulambalamba masikio na vitu vingine.
Akanieleza kwa ufupi namna utahiriji mbovu wa mahospitalini unavosababisha tatizo. Akanieleza juu ya mishipa miwili iliyopo sehem ya juu ya uume ambayo before hujatairiwa huwa na connection ya moja kwa moja na kirungu.
Akanieleza namna ambavyo ile mishipa (baada ya kutoa mkono wa sweta) inakunjwa vibaya na kushonwa na hivyo charge kuishia njiani bila kufika kwenye kirungu.
Pia alinielezea tofauti ya kutahiriwa kimila na mahospitalini na kunithibitishia kwamba watu walotahiriwa kimila nguvu zao zipo fine.
Na lingine alizungumzia ile ganzi inayopigwa wakati wa kutahiri pia haifai.
Alinieza kiundani but imekaa kitaalam zaidi.
JE KUNA UKWELI WOWOTE HAPO