Kutahiri mtoto.

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
4,632
Reaction score
1,773
Wakubwa naomba kuelekezwa hospitali yenye Madoctor wazuri wa kutahiri watoto wadogo na gharama zake kwa DSM, dogo ana miezi 4.
 
mi wangu nasubiri afikishe miaka 18 ndo nimtahiri
 
We Kyenju, ebu subiri mtoto akue kidogo coz siku hizi nasikia malalamiko mengi ya Vibamia kwa watoto waliotahiriwa wakiwa wadogo sana. Vuta subira mkuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
wew muonee mtoto huruma jaman bado mdogo sana aisee subir hata afikishe mwaka daaa
 
Wakubwa naomba kuelekezwa hospitali yenye Madoctor wazuri wa kutahiri watoto wadogo na gharama zake kwa DSM, dogo ana miezi 4.

Nenda faya kwa dk juma au pale upanga mtaa mataka kwa profesa kareem
 
We Kyenju, ebu subiri mtoto akue kidogo coz siku hizi nasikia malalamiko mengi ya Vibamia kwa watoto waliotahiriwa wakiwa wadogo sana. Vuta subira mkuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

mimi mtoto wangu nilimtahiri akiwa na miezi miwili,siku ya kwanza alisumbua sana mpaka nikajuta lakini kesho yake mtoto yupi poa kabisa,hata wiki haikupita kidonda kikapona kabisa na dushelele lipo fresh kabisa
 
Last edited by a moderator:
mimi mtoto wangu nilimtahiri akiwa na miezi miwili,siku ya kwanza alisumbua sana mpaka nikajuta lakini kesho yake mtoto yupi poa kabisa,hata wiki haikupita kidonda kikapona kabisa na dushelele lipo fresh kabisa

Mshukuru Mungu, wengine wanakua na vibamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…