uchunguzi mfu huo,uchunguzi uliofanyika hivi karibuni katika nchi za kiafrika umeonyesha kuwa ,wanaume waliotahiriwa wana uwezekano wa kutoambukizwa ukimwi kwa asilimia hamsini.UJUMBE; tuwapeleke watoto wetu wakatahiriwe na wale wakubwa ambao bado, tuwashauri wakatoe,waache woga.
Kiongozi vipi? Bado?uchunguzi mfu huo,
uchunguzi uliofanyika hivi karibuni katika nchi za kiafrika umeonyesha kuwa ,wanaume waliotahiriwa wana uwezekano wa kutoambukizwa ukimwi kwa asilimia hamsini.UJUMBE; tuwapeleke watoto wetu wakatahiriwe na wale wakubwa ambao bado, tuwashauri wakatoe,waache woga.
source plse!!!!😕
uchunguzi uliofanyika hivi karibuni katika nchi za kiafrika umeonyesha kuwa ,wanaume waliotahiriwa wana uwezekano wa kutoambukizwa ukimwi kwa asilimia hamsini.UJUMBE; tuwapeleke watoto wetu wakatahiriwe na wale wakubwa ambao bado, tuwashauri wakatoe,waache woga.
Poooooooooooooooint. kweli umenenaJamani kweli ambao bado manayo na mshakuwa wakubwa mkayatoe jamani, sio ukimwi tuu, hata mwanamke utakayempata utampa taabu sana kama utakuwa na hilo dubwana.
Wapo wabishi toka kuzaliwa,akina tomaso wa kwenye bibliaHuo ni ukweli usiopingika!
Sometimes tupunguze ubishi wajameni! au siyo???
Jamani kweli ambao bado manayo na mshakuwa wakubwa mkayatoe jamani, sio ukimwi tuu, hata mwanamke utakayempata utampa taabu sana kama utakuwa na hilo dubwana.
Ngoja wenyewe waseme.....Usiwasemeeee.Nilichosikia kwa akina dada walio wengi, wanapenda wenye magovi, wanaclaim kuwa inasisimua wakati wa maakuli, reached a point I wanned t back, but ndo hivo.
Ushauri:
Kama ww bado, hata usiende kutoa, kama swala la ukimwi, u'v 2b mwaminifu, piriodi))))
...Mh! Kweli kabisa wanaweza kuja na uzoefu tofauti tofauti....Ila lile dude nalo khaah!!Ngoja wenyewe waseme.....Usiwasemeeee.
sawa kabisaJamani kweli ambao bado manayo na mshakuwa wakubwa mkayatoe jamani, sio ukimwi tuu, hata mwanamke utakayempata utampa taabu sana kama utakuwa na hilo dubwana.
Kuna mijitu mibishi sanaaaaaaaa humu ndani.......... Sometimes the person who gives you the information.....is the SOURCE.......... vingine content ndiyo uthibitisho.................... HIVI MNAPOPEWA TAARIFA ZA MISIBA HUWA MNAULIZA SOURCE..........???Hapo hapo mzee chukua hii source, ukurasa wa 24 pragraph ya 9 ya kijitabu cha Talking about aids - handbook for peer educators, kimetolewa Dar es salaam, August 2008 kwa msaada mkubwa wa german development cooperation through GTZ na AIDS buisness collition Tanzania (ABCT) the forword of this handbook was signed by Dr Fatma Mrisho of TACAIDS.
Ushauri wangu upo pale pale,tuwashauri vijana au hata wakubwa ambao bado,waende wakatoe ile nanihii ili wawe AIDS riskfree by at least 50% kuna tatizo gani?.Hata hivyo huu ni ushauri tu.Nisameheni sana kama nitawakwaza baadhi ya wana JF.
Kwa Great thinkers source muhimu mkuu!!HIVI MNAPOPEWA TAARIFA ZA MISIBA HUWA MNAULIZA SOURCE..........???
Ngoja wenyewe waseme.....Usiwasemeeee.