juzi kuna babu wa miaka 79 ndio katahiriwa alikuwa anasubiria kibamia chake kiwe kama mnazi, haikuwa hivyo, na siku anaenda tahiriwa ilibidi tumuulize faza vipi, alisema tu kwamba wajukuu zangu, umri wangu umekwenda na sina siku nyingi haa duniani, ni aibu na kwa familia yangu na hasa wajukuu zangu, kama siku nimekufa watu waje kuniosha na kunikuta nipo katika hali kama hii...na tulipomuuliza kwanini hakulitoa lile gozi tangu kijana ndipo aliotueleza meengi yaliyohusiana na Imani kama hizo za kipuuzi