Kutahiriwa

Kutahiriwa

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,273
Reaction score
13,567
Heshima kwenu wote mnaostahili kuheshimiwa,

Naomba kujua umri sahihi wa mtoto wa kiume kutahiriwa,maana nimekupa napat changamoto sana,mtaani kwangu kuona watoto wadogo chini ya miaka miwili wakiwa wametahiriwa na penis zao zikiwa ndogo kama piritoni,huwa najiuliza kwanini wasinge achwa hazi penis zao zikue kubwa?
Au ni sababu za kiimani au?

Nawatakia kila la heri kwenye wikiendi hii na nyinginezo.
 
mtahiri akifikisha miaka11+ hivi akitairiwa mapema dushelele linakuwa dogo kimwonekano ila likidind* linakuw sawa
 
mtahiri akifikisha miaka11+ hivi akitairiwa mapema dushelele linakuwa dogo kimwonekano ila likidind* linakuw sawa
hata pale pale anapozaliwa tu waweza kumtairi mtoto haina athari yeyote ile
 
ss kama yeye anataka kumtahiri mapema ni sahihi ila ni vizuri akachelewa
 
Yani akae na govi mpaka darasa la Sita?? [emoji15]
Kwani govi ni ugonjwa na akitahiriwa mapema hilo dushe atalitumia wapi? Nijuavyo mimi raha ya kutahiriwa ni kugegedana na kufanya mgegedo kuwa msafi.
 
Back
Top Bottom