Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,781
- 20,059
Kwani 2020 wakati Watendaji wa Kata na Vijiji wanazikimbia ofisi kuogopa kupokea fomu za wagombea wa upinzani ulikuwa wapi !?? Sio jambo geni hiloSalaam, Shalom!!
Jana 2/1/2024, wamesikika viongozi wawili wa chama Cha MAPINDUZI Mzee Kinana na Ndugu Majaliwa Kassim,wakiibua HOJA ya kuzuia wagombea na watia Nia wengine ndani ya chama kutokudiriki kuchukua fomu ya ugombea urais, Kwamba itachapishwa fomu Moja tu Kwa Sa100.
HOFU ya HOJA ya kuchapisha Jina Moja Kwa mgombea wa CCM inatoka wapi ilhali mkt ana kofia mbili?
Hivi ikitokea mgombea huyo ameghairi kugombea, mtarudisha vp mchakato wakati mmeshapiga stop watia Nia wengine?
Tukiendelea na mawazo haya, vyama vya upinzani IPO siku wagombea Urais watazuiwa kuchukua fomu Ili kumrahisishia njia mgombea wa CCM mwenye HOFU ya changamoto ya upinzani ndani na nje ya chama.
Karibuni 🙏
Demokrasia ya CCM ni nini Mwenyekiti anataka. Kinyume na hapo unawahishwa ukamuimbie Bwana mawinguniSalaam, Shalom!!
Jana 2/1/2024, wamesikika viongozi wawili wa chama Cha MAPINDUZI Mzee Kinana na Ndugu Majaliwa Kassim,wakiibua HOJA ya kuzuia wagombea na watia Nia wengine ndani ya chama kutokudiriki kuchukua fomu ya ugombea urais, Kwamba itachapishwa fomu Moja tu Kwa Sa100.
HOFU ya HOJA ya kuchapisha Jina Moja Kwa mgombea wa CCM inatoka wapi ilhali mkt ana kofia mbili?
Hivi ikitokea mgombea huyo ameghairi kugombea, mtarudisha vp mchakato wakati mmeshapiga stop watia Nia wengine?
Tukiendelea na mawazo haya, vyama vya upinzani IPO siku wagombea Urais watazuiwa kuchukua fomu Ili kumrahisishia njia mgombea wa CCM mwenye HOFU ya changamoto ya upinzani ndani na nje ya chama.
Karibuni 🙏
Mkuu zitto junior, confirmation kama ni rebranding or amendment inapatikana kwenye the inventory ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa pekee na sio kwa mtu mwingine yeyote!.Mkuu unaheshimika sana humu JF usifanye misinformation.... 2006 iliandikwa katiba mpya maana chama kilizinduliwa upya (rebranding) 2004. So yalikua maoni mapya kabisa yaliyoandika katiba mpya sio eti ammendments!!
Hili limeshakua clarified na Dr slaa pamoja na Mnyika tokea 2011 na nyuzi zipo humu humu msipotoshe.
Yale sio marekebisho ni katiba mpya, na maoni yalikusanywa chini ya Kamati kabisa ilikua Mwenyekiti Prof. Baregu huku katibu ni John Mnyika.Mkuu zitto junior, confirmation kama ni rebranding or amendment inapatikana kwenye the inventory ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa pekee na sio kwa mtu mwingine yeyote!.
P
Kweli kabisa Cheo Cha Makamo kifutwe, Ili wasaka Urais wasipitie hapo.Hiii ni mbaya sana. Kiongozi anaweza honga fedha watu kadahaa iliapite pilakupingwa. Ccm tunataka kila mtu mwenye nia achukue fomu ya urais
Halafu hiki cheo cha makamu kifutwe kabisa kati ya rais na makamu huko mbeleni kutakuwa na kuaminiana.
Hasa viongozi wajao wa rais na makamu makamu anaweza ondolewa kabla ya muhula kuisha
Kwao. Wao hiyo.siyo shida. Shida.ni kwingine tuSalaam, Shalom!!
Jana 2/1/2024, wamesikika viongozi wawili wa chama Cha MAPINDUZI Mzee Kinana na Ndugu Majaliwa Kassim,wakiibua HOJA ya kuzuia wagombea na watia Nia wengine ndani ya chama kutokudiriki kuchukua fomu ya ugombea urais, Kwamba itachapishwa fomu Moja tu Kwa Sa100.
HOFU ya HOJA ya kuchapisha Jina Moja Kwa mgombea wa CCM inatoka wapi ilhali mkt ana kofia mbili?
Hivi ikitokea mgombea huyo ameghairi kugombea, mtarudisha vp mchakato wakati mmeshapiga stop watia Nia wengine?
Tukiendelea na mawazo haya, vyama vya upinzani IPO siku wagombea Urais watazuiwa kuchukua fomu Ili kumrahisishia njia mgombea wa CCM mwenye HOFU ya changamoto ya upinzani ndani na nje ya chama.
Karibuni 🙏
Na Akipewa hiyo fomu anataka ashangiliwe kama vile palikuwa na watu anashindana nao.Unakuta mtu ana mwili mkubwa miraba minne lakini anajishebedua huku akitoa machozi ya mamba na kutangaza kuwa kutakuwa na fomu Moja ya mgombea urais sasa unawaza aliyeupiga mwingi anaogopa Nini?
Huwu utaratibu ndiwo walitumia Kawe kukujeruhi hadi ukapata Kura moja yakujipigia mwenyewe hiyi sio demokrasia hata Mzee Kingunge Ngombali Mwiru alipinga sana wakati JK amemukata Lowassa..Mwisho akaishia nakusema CCM ilikata pumzi kitamboMkuu Rabbon , hii ndio demokrasia ya CCM, ni utaratibu wao wa ndani, na hiki ndicho kinachokwenda kutokea 2025, fomu itatolewa moja, ila haitaandikwa jina, Mama Sa100 ataichukua na kumpatia amtakaye kama tulivyo shauri kwenye mada HII
Mpaka sasa nimeishapewa majina ya watu 3 wa 2025
Wa kwa ni mtarajiwa Maza mwnyewe!. Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
Wa pili ni Kama Sauti Hii ni Sauti ya Kweli, Nimeelezwa Mpango Ndio Mpango Mzima!. Swali ni... Akiwa Mkristo, Kwanini ni Lazima Awe Mkatoliki?!
Wa tatu ni Kinyang'anyiro cha Urais 2025 kwa tiketi ya CCM: Dkt Mwinyi kuwania Urais wa Muungano?
P
Hapana, utaratibu wa fomu moja ni kwenye urais tuu. Kawe tulikuwa wagombea 176, walioambulia angalau kura moja ni wagombea 50, kuna wagombea 126 hawakuambulia hata kura moja!, hivyo kura moja yangu ni kubwa sana!.https://www.jamiiforums.com/threads/kawe-kunani-why-is-a-hot-cake-wamejitokeza-wagombea-176-what-is-so-special-kuchinja-watu-175-kubaki-1-is-not-a-joke-je-atakuwa-nani.1757524/Huwu utaratibu ndiwo walitumia Kawe kukujeruhi hadi ukapata Kura moja yakujipigia mwenyewe hiyi sio demokrasia hata Mzee Kingunge Ngombali Mwiru alipinga sana wakati JK amekukata Lowassa..Mwisho akaishia nakusema CCM ilikata pumzi kitambo
Hii ya orijino inazidi kujirudia. Unakumbuka tundulissu Mtwara alisema wako laki 9 Wana Wabunge 10 Zanzibar wako laki 9 pia Wana Wabunge 50? Akasema Katiba orijino1962 ilisema Kariakoo iwe Wabunge 70 Singinda mbunge 1 Tabora Wabunge 2.Pamoja na yote, mwisho ni miaka 10!. Chadema katiba original iliweka ukomo wa miaka 10, kwenye marekebisho ya katiba ya Chadema ya mwaka 2006, hicho kipengele kiliyeyushwa na watu 2, huku aliyekuwa Katibu Mkuu, Dr. Wibroad Slaa hajui, wala John Myika hajui!. Angalia michango yao kwenye hoja hii Tuhuma Hii: CHADEMA kendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa
P
Mkuu kama kweli urilidhika na matokeo ya Kawe unaonaje huwo utaratibu uingwe ili chaguzi zote benchmark iwe Kawe?? Wewe ni mtu mzima najuwa unajuwa nini ulikiona kwenye chumba cha wajumbe cha chinjachinja.Hapana, utaratibu wa fomu moja ni kwenye urais tuu. Kawe tulikuwa wagombea 176, walioambulia angalau kura moja ni wagombea 50, kuna wagombea 126 hawakuambulia hata kura moja!, hivyo kura moja yangu ni kubwa sana!.https://www.jamiiforums.com/threads/kawe-kunani-why-is-a-hot-cake-wamejitokeza-wagombea-176-what-is-so-special-kuchinja-watu-175-kubaki-1-is-not-a-joke-je-atakuwa-nani.1757524/
P
Akina Membe na Shibuda walipoonyesha nia mapema walitimiliwa kwenye chama.Salaam, Shalom!!
Jana 2/1/2024, wamesikika viongozi wawili wa chama Cha MAPINDUZI Mzee Kinana na Ndugu Majaliwa Kassim,wakiibua HOJA ya kuzuia wagombea na watia Nia wengine ndani ya chama kutokudiriki kuchukua fomu ya ugombea urais, Kwamba itachapishwa fomu Moja tu Kwa Sa100.
HOFU ya HOJA ya kuchapisha Jina Moja Kwa mgombea wa CCM inatoka wapi ilhali mkt ana kofia mbili?
Hivi ikitokea mgombea huyo ameghairi kugombea, mtarudisha vp mchakato wakati mmeshapiga stop watia Nia wengine?
Tukiendelea na mawazo haya, vyama vya upinzani IPO siku wagombea Urais watazuiwa kuchukua fomu Ili kumrahisishia njia mgombea wa CCM mwenye HOFU ya changamoto ya upinzani ndani na nje ya chama.
Karibuni 🙏
CCM haijawahi kufiwa na Rais aliye madarakani Hadi useme huo ni Utaratibu au jadi Yao.Akina Membe na Shibuda walipoonyesha nia mapema walitimiliwa kwenye chama.
CCM kila kitu linafanyiwa kutokana na wakati. Ndiyo maana hawaiheshimu katiba.
Halafu Mizwazwa, Chawa na Paka wa Lumumba wako busy kutangaza demokrasia... Tanzania ni ka North Korea au kaChina kadogo ka Africa.Tangu lini Tz imekuwa na Demokrasia hususani kwenye masuala ya utawala wa nchi?
Unauliza Demokrasia ktk nchi ya Korea ya Kaskazini???
Huu mpango wa kuminya demokrasia ndani ya ccm ndio utaiangusha ccm toka kwenye uongozi wa nchi. Kuna wanaamini ccm hua inashinda eti kwa kuiba kura. Mimi siamini. Mimi ninasmini ccm hua inashinda kwenye boksi la kura. Hawa wenye kutaka kulazimisha mtu hakubaliki ndio watashangaa kuona anakataliwa na wananchi na wabunge wanakosa kura kwa wingi. Samia hakuwahi kuchaguliwa ugombea urais ccm. Acheni wajitokeze wananchi kwa uhuru kuchuana naye ndani ya chama sio kuanza kuwekeana kauzibe ili kumpitisha mtu hakubaliki.Salaam, Shalom!!
Jana 2/1/2024, wamesikika viongozi wawili wa chama Cha MAPINDUZI Mzee Kinana na Ndugu Majaliwa Kassim,wakiibua HOJA ya kuzuia wagombea na watia Nia wengine ndani ya chama kutokudiriki kuchukua fomu ya ugombea urais, Kwamba itachapishwa fomu Moja tu Kwa Sa100.
HOFU ya HOJA ya kuchapisha Jina Moja Kwa mgombea wa CCM inatoka wapi ilhali mkt ana kofia mbili?
Hivi ikitokea mgombea huyo ameghairi kugombea, mtarudisha vp mchakato wakati mmeshapiga stop watia Nia wengine?
Tukiendelea na mawazo haya, vyama vya upinzani IPO siku wagombea Urais watazuiwa kuchukua fomu Ili kumrahisishia njia mgombea wa CCM mwenye HOFU ya changamoto ya upinzani ndani na nje ya chama.
Karibuni 🙏
Tulimchagua Magu 2015, Mungu akamchukua march 2021.Huu mpango wa kuminya demokrasia ndani ya ccm ndio utaiangusha ccm toka kwenye uongozi wa nchi. Kuna wanaamini ccm hua inashinda eti kwa kuiba kura. Mimi siamini. Mimi ninasmini ccm hua inashinda kwenye boksi la kura. Hawa wenye kutaka kulazimisha mtu hakubaliki ndio watashangaa kuona anakataliwa na wananchi na wabunge wanakosa kura kwa wingi. Samia hakuwahi kuchaguliwa ugombea urais ccm. Acheni wajitokeze wananchi kwa uhuru kuchuana naye ndani ya chama sio kuanza kuwekeana kauzibe ili kumpitisha mtu hakubaliki.