olimpio
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 418
- 866
Mwaka mmoja na miezi yakutosha niliwahi kuwajulisha juu ya njama za kutaka kuua eGA, Watu kadhaa inadaiwa walikua nyuma ya carpet wakiandaa mikakati hio.
Hivi karibuni inadaiwa watu hao walifikia 98% kuiua eGA, wazalendo wa Makumbusho wakaokoa jahazi dakika za jioni sana (Hongera sana kwao), Serikali inafanya kazi taratibu lakini kwa uhakika sana, kamba yote iliyokua inahusika inapata mapigo ya maana sana hivi sana.
NMB alipewa tender pia ya kutengeneza mifumo wakati NMB ni bank, sababu za kuhamisha majukumu hayo toka kwa eGA kwenda NMB hakuna anayejua isipokua waliotia saini MOU hizo. Yaani unamkabidhi NMB jamii number atengeneze mfumo? Jamii namba itakayotumika hadi kwenye vitambulisho vya kitaifa na Pasi za kusafiria?
Kuna mengi sana ambayo watu wachache walitaka kuzamisha taifa hili na kumharibia kabisa Rais.