Kutakiwa kulipa ada ya kidato cha tano

Kutakiwa kulipa ada ya kidato cha tano

Mediator Hamza

New Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
3
Reaction score
2
Wanafunzi wa kidato cha sita waliomaliza Shule ya Sekondari Mbweni Teta iliyopo kata ya Mbweni wilaya ya Kinondoni mkoa wa Dar es Salaam wanapitia changamoto ya kunyimwa Result slip zao kwa kutakiwa kulipa Ada ya kidato cha tano ambayo Ilifutwa na serikali Ndipo wapewe slip hizo za matokeo zinazowawezesha kuripoti vyuo mbalimbali walivyochaguliwa.

Tunaomba Jamiiforums mtusaidie.
 
Na serikali hii tuliyonayo inayojali mabwenyenye hakuna namna zaidi ya kulipa.

Enzi za wanyonge kuwa na mtetezi zimepita. Sasa hivi ni mwendo wa kuingiza faida tu.
 
Ada ya form six imefutwa mwaka wa bajeti 2022/2023 maana yake wanufaika huu mchakato ni wanafunzi wanoanza form five mwaka 2023 Sasa tumia Maarifa kufikiria hilo kwa umakini.
 
Wanafunzi wa kidato cha sita waliomaliza Shule ya Sekondari Mbweni Teta iliyopo kata ya Mbweni wilaya ya Kinondoni mkoa wa Dar es Salaam wanapitia changamoto ya kunyimwa Result slip zao kwa kutakiwa kulipa Ada ya kidato cha tano ambayo Ilifutwa na serikali Ndipo wapewe slip hizo za matokeo zinazowawezesha kuripoti vyuo mbalimbali walivyochaguliwa.

Tunaomba Jamiiforums mtusaidie.
Acha kuomba huruma kwa media, Lipa ada ,mwanao kaingia shule 2021 form 5, je ada ilikuwa imefutwa? Lipa aa
 
Ada ya form six imefutwa mwaka wa bajeti 2022/2023 maana yake wanufaika huu mchakato ni wanafunzi wanoanza form five mwaka 2023 Sasa tumia Maarifa kufikiria hilo kwa umakini.
Kuna baadhi ya shule hawajalipishwa kabisa kwahiyo hawajui kama kufutwa kwa ada inawahusu form five wa mwaka huu??
 
Ada imefutwa 2022 June, mwanao hakiwa form 5, hivyo anatakiwa kulipa ada acha visingiZio
Ndiyo ada ya kidato cha 5 imelipwa kuingia kidato cha 6 ada imefutwa...kisingizio kipi sasa hapo rudia vizuri ile hotuba aliyoitoa Mwigulu Nchemba aliwataja kidato cha 6 kuwa nao wamefutiwa ada
 
Form 5 na Six Ada ilikua 70,000 mwaka 2012
 
Ndiyo ada ya kidato cha 5 imelipwa kuingia kidato cha 6 ada imefutwa...kisingizio kipi sasa hapo rudia vizuri ile hotuba aliyoitoa Mwigulu Nchemba aliwataja kidato cha 6 kuwa nao wamefutiwa ada
Basi mfate Mwigulu akulipie
 
Nimejaribu kukuelewesha tu mkuu na anayehusika na hiyo mada ni mtoa mada sisi wengine wachangiaji tu
Mimi nakujibu Kama mwalimu wa jangwani Tena mtaaluma.

Usiponielewa Mimi mwigulu atakuelewesha
 
Back
Top Bottom