Mediator Hamza
New Member
- Sep 19, 2023
- 3
- 2
🙆🙆 kweli kabisaaNa serikali hii tuliyonayo inayojali mabwenyenye hakuna namna zaidi ya kulipa.
Enzi za wanyonge kuwa na mtetezi zimepita. Sasa hivi ni mwendo wa kuingiza faida tu.
Kabisa🙆🙆😂Kazi iendelee
Acha kuomba huruma kwa media, Lipa ada ,mwanao kaingia shule 2021 form 5, je ada ilikuwa imefutwa? Lipa aaWanafunzi wa kidato cha sita waliomaliza Shule ya Sekondari Mbweni Teta iliyopo kata ya Mbweni wilaya ya Kinondoni mkoa wa Dar es Salaam wanapitia changamoto ya kunyimwa Result slip zao kwa kutakiwa kulipa Ada ya kidato cha tano ambayo Ilifutwa na serikali Ndipo wapewe slip hizo za matokeo zinazowawezesha kuripoti vyuo mbalimbali walivyochaguliwa.
Tunaomba Jamiiforums mtusaidie.
Kuna baadhi ya shule hawajalipishwa kabisa kwahiyo hawajui kama kufutwa kwa ada inawahusu form five wa mwaka huu??Ada ya form six imefutwa mwaka wa bajeti 2022/2023 maana yake wanufaika huu mchakato ni wanafunzi wanoanza form five mwaka 2023 Sasa tumia Maarifa kufikiria hilo kwa umakini.
Ada imefutwa akiwa kidato cha 5 kuingia cha 6 kwahiyo hakutbakiwa kulipa ada ya kidato cha 6Acha kuomba huruma kwa media, Lipa ada ,mwanao kaingia shule 2021 form 5, je ada ilikuwa imefutwa? Lipa aa
Ada imefutwa 2022 June, mwanao hakiwa form 5, hivyo anatakiwa kulipa ada acha visingiZioAda imefutwa akiwa kidato cha 5 kuingia cha 6 kwahiyo hakutbakiwa kulipa ada ya kidato cha 6
Ndiyo ada ya kidato cha 5 imelipwa kuingia kidato cha 6 ada imefutwa...kisingizio kipi sasa hapo rudia vizuri ile hotuba aliyoitoa Mwigulu Nchemba aliwataja kidato cha 6 kuwa nao wamefutiwa adaAda imefutwa 2022 June, mwanao hakiwa form 5, hivyo anatakiwa kulipa ada acha visingiZio
Basi mfate Mwigulu akulipieNdiyo ada ya kidato cha 5 imelipwa kuingia kidato cha 6 ada imefutwa...kisingizio kipi sasa hapo rudia vizuri ile hotuba aliyoitoa Mwigulu Nchemba aliwataja kidato cha 6 kuwa nao wamefutiwa ada
Nimejaribu kukuelewesha tu mkuu na anayehusika na hiyo mada ni mtoa mada sisi wengine wachangiaji tuBasi mfate Mwigulu akulipie
Mimi nakujibu Kama mwalimu wa jangwani Tena mtaaluma.Nimejaribu kukuelewesha tu mkuu na anayehusika na hiyo mada ni mtoa mada sisi wengine wachangiaji tu