Kutamani sana wanawake

Kutamani sana wanawake

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,720
Nina tatizo hilo kila shori mkali anaekatiza mbele yangu basi namtamani....kimapenzi....najiulizaga peke yangu huu utakuwa ugonjwa..despite nina shori mkali nyumbani lakini bado haka ka tatizo bado kananiandama...
I know it is not easy to be loyal nowadays...temptation of women is so strong to handle.....Nisaidieni wakuu hata kwa ushauri..
 
Nenda ukaombewe uondokewe na pepo la ngono. Huna kingine kinachokusumbua bali hilo pepo.
 
pepo la ngoni hilo. Inabidi uombewe na hilo pepo likemewe!
 
Hilo ni pepo la ngono unatakiwa ukemee au ukapungwe!

Nenda kwa watumishi wa Mungu(pastors) wakemee pepo hilo litatoka tu.
aiseee kuna wakati hata kanisani akili inaruka na hizi nguo wanavaa mashori wa siku hizi church basi inakuwa balaa sana....
 
arifu aiseee hakuna uhusiano kabisa hapo...

Yo Yo huna tatizo lolote....hivyo hivyo ndo uanaume huo....hakuna mwanaume rijali asiyependa kuangalia vitu vizuri bana....keep it up.....you are a real man....braaavoooo....

aiseeeeeeee
 
Fuata mwili wako,yaani upe mwili wako kama unavyodai,with time mwili utaona kawaida na tamaa itaisha
 
aiseee kuna wakati hata kanisani akili inaruka na hizi nguo wanavaa mashori wa siku hizi church basi inakuwa balaa sana....
Na hao wenye kuvaa hivyo vijinguo hawana lawama, yaani wanatufanya hata ukifika home mtu unakuwa ushakinai kuona na kwa sisi wanaume ni kitu mbaya mno. Ladies we will still adore you no need to walk around half naked!!!!:eyebrows:
 
Nina tatizo hilo kila shori mkali anaekatiza mbele yangu basi namtamani....kimapenzi....najiulizaga peke yangu huu utakuwa ugonjwa..despite nina shori mkali nyumbani lakini bado haka ka tatizo bado kananiandama...
I know it is not easy to be loyal nowadays...temptation of women is so strong to handle.....Nisaidieni wakuu hata kwa ushauri..

Ku-appreciate uumbaji huko Yo Yo sema wewe unawavua nguo kabisa hao wanawake wapitao anga zako. Pole mkuu!

Halafu ukiendekeza utalemaa hivyo hivyo..usiwe unakodoa macho sana!
 
Nicheck nikupe spidi gavana ya kuzuia kutamani tamani wanawake
 
Hilo ni pepo la ngono unatakiwa ukemee au ukapungwe!

Sasa kama ni pepo ukienda kupungwa si unaongezewa pepo jingine la kulituliza hilo lililomo tayari siku nalo likitibuka unapungwa tena unaongezezwa jingine mwisho wake unakuwa kijiwe cha mapepo - lol
 
Ku-appreciate uumbaji huko Yo Yo sema wewe unawavua nguo kabisa hao wanawake wapitao anga zako. Pole mkuu!Halafu ukiendekeza utalemaa hivyo hivyo..usiwe unakodoa macho sana!
Kwa hiyo inabidi avae mawani ya mbao?
 
Back
Top Bottom