Hilo ni pepo la ngono unatakiwa ukemee au ukapungwe!
Nenda ukaombewe uondokewe na pepo la ngono. Huna kingine kinachokusumbua bali hilo pepo.
pepo la ngoni hilo. Inabidi uombewe na hilo pepo likemewe!
aiseee kuna wakati hata kanisani akili inaruka na hizi nguo wanavaa mashori wa siku hizi church basi inakuwa balaa sana....Nenda kwa watumishi wa Mungu(pastors) wakemee pepo hilo litatoka tu.
aiseee kuna wakati hata kanisani akili inaruka na hizi nguo wanavaa mashori wa siku hizi church basi inakuwa balaa sana....
arifu aiseee hakuna uhusiano kabisa hapo...
Na hao wenye kuvaa hivyo vijinguo hawana lawama, yaani wanatufanya hata ukifika home mtu unakuwa ushakinai kuona na kwa sisi wanaume ni kitu mbaya mno. Ladies we will still adore you no need to walk around half naked!!!!:eyebrows:aiseee kuna wakati hata kanisani akili inaruka na hizi nguo wanavaa mashori wa siku hizi church basi inakuwa balaa sana....
Nina tatizo hilo kila shori mkali anaekatiza mbele yangu basi namtamani....kimapenzi....najiulizaga peke yangu huu utakuwa ugonjwa..despite nina shori mkali nyumbani lakini bado haka ka tatizo bado kananiandama...
I know it is not easy to be loyal nowadays...temptation of women is so strong to handle.....Nisaidieni wakuu hata kwa ushauri..
Hilo ni pepo la ngono unatakiwa ukemee au ukapungwe!
Kwa hiyo inabidi avae mawani ya mbao?Ku-appreciate uumbaji huko Yo Yo sema wewe unawavua nguo kabisa hao wanawake wapitao anga zako. Pole mkuu!Halafu ukiendekeza utalemaa hivyo hivyo..usiwe unakodoa macho sana!