Kutamani sana wanawake

nazani ni tatizo la kisaikolojia tu hebu jitahidi kupotezea hayo mawazo ili uaminifu kwa huyo shori mkali wa home kwako uendelee kuimarika
 
Stars na Msumbiji ngapi ngapi jamani. (Sorry off topic)
 
acha ufala sio jukwaa lake hilo nenda kwenye michezo huko watu wanataka ushaur toa ushaur sepa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…