Kutambo shuleni

Kutambo shuleni

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*Kitambo Shuleni*

John ana miaka 10 pungufu ya baba yake, mama yake ana miaka 40, miaka 20 zaidi ya John. Tafuta umri wa:
1. John
2. Baba
3. Mama

```Hili swali nilikua naliruka... sio kwamba nilikua siliwezi, ni basi tu sipendi kuingilia mambo ya familia za watu```
 
hisabati somo la kimbea sana mara tafuta faida ya mangi
mara tafuta riba atayopata naniliu baada kuweka hela benki

badala wakamuulize mwenyewe wananiuliza mimi kama sio mmbea unakosa
 
hisabati somo la kimbea sana mara tafuta faida ya mangi
mara tafuta riba atayopata naniliu baada kuweka hela benki

badala wakamuulize mwenyewe wananiuliza mimi kama sio mmbea unakosa
Haaaaaaaaaa ........ duu we umeua kabisa!
 
Back
Top Bottom