Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Maeneo ya Mwanza!Kwan huyo John anakaa wapi na hao wazazi wake?
No me sio kiboko me Ng'e mwekundu!Wewe nae kiboko
Haaaaaaaaaa ........ duu we umeua kabisa!hisabati somo la kimbea sana mara tafuta faida ya mangi
mara tafuta riba atayopata naniliu baada kuweka hela benki
badala wakamuulize mwenyewe wananiuliza mimi kama sio mmbea unakosa