Kutambulika. . . .

Utapoa tu.
Nchuchu mpaka hii post ya #29 naanza kupata hisia kuwa Mkuu umeshikilia kiberiti mbele ya pipa la petrol,something is bound to explode very soon,are you ready for the bang? umevaa helmet? halafu i have a feeling you are somebody whose normal ID i know.
 
Mie pia nna hizo hisia manake mwandiko wake unafanana na wa huyo somebody!
 
wife ana relate vipi na binti zako wakubwa,ameweza ku settle nao vizuri? maana mtihani huwa uko hapo.
 
Raha ya mauwa ni hand to hand present, kwahiyo wazo lako halitekelezeki maana mtoko wa Valentines ni jioni. what u think?

Sasa wambea wambea wa hapa watajuaje na mimi NIMO?Au unataka unitambue ila NISITAMBULIKE wala USITAMBULIKE kwa watu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…