ukirusha jiwe gizani atakayepiga kelele jua huyo ndo limemgonga.
Kwahiyo hilo pipa la mafuta ni nani anaesubiria kulipuliwa na hicho kiberiti kilichoshikwa na MIO?
Mr MIO. . .
Audi new model itashinda barazani kwako siku nzima na kukupeleka salon na kukurudisha kuvaa rasmi kwa mtoko, i will hire a driver for ur up n down for whole day.Sasa wambea wambea wa hapa watajuaje na mimi NIMO?Au unataka unitambue ila NISITAMBULIKE wala USITAMBULIKE kwa watu??
Asante kwa kututafunia... Wasalimie..Vingine mnatafuniwa halafu mnadhania hisia zenu zimepatia kumbe mmerahisishiwa tu kazi.
Asante kwa kututafunia... Wasalimie..
Hee kwani kusema namtambua BwaNchuchu ni umbea? Mada si kutambulika?Umbea usiohusiana na mada Chiti chati!!
Hee kwani kusema namtambua BwaNchuchu ni umbea? Mada si kutambulika?
Wale unaowapenda kwa moyo wako wote!...Akina nani hao wakusalimiwa?
Bwa'Nchuchu...nimelitamka huku nimebana pua, ni zuri..Umesahau kuweka comma kwenye jina langu.
Halafu hapo ulipo hebu litamke kwa sauti usikie lilivyo zuri.
Wale unaowapenda kwa moyo wako wote!...
Haya nisalimie sasa!Hata wewe nakupenda kwa moyo wangu wote
Hata wewe nakupenda kwa moyo wangu wote
Haya nisalimie sasa!
Aah mie swalama khofu kwako!..Swalama bibie...
Aah mie swalama khofu kwako!..
Hapo sasa!!
You are. . .