Kutambulika. . . .

Hhhhmmm . . . kama sijalogwa basi hamna wachawi mtaani kwetu.
 
Kujua sio kutambua. . .wala kutambua sio kujua.
Mie sijasema namjua nimesema namtambua!.. Naelewa kujua na kutambua ni vitu viwili tofauti, huezi kujua kama hutambui, inaanza kutambua then kujua!
 
Mie sijasema namjua nimesema namtambua!.. Naelewa kujua na kutambua ni vitu viwili tofauti, huezi kujua kama hutambui, inaanza kutambua then kujua!

Kumbe KUHISI = KUTAMBUA?
Mi najua KUHISI -<< KUJUA which is -<< KUTAMBUA.
 
Kijana huyo sio Binti ni Jimama!

jimama? Hapana nakataa! Kama lingekuwa jimama lingeporomosha mawe mazito? Hako nakaona ni kabinti tena kastaarabu na karembo kenye heshima zake murua!
 
kwanza kujitambua na ujitambue nafasi yako na nadhani pia kwa hatua hiyo hata mhusika nae atakutambua na kukupa nafasi kulingana na wewe jinsi ulivyojiweka
 
Hahaha. . . haya bana NAPOTEZEA!!

Sasa ndio nini hivyo Valentine?Huwezi kunitambua ukaacha mwanya wengine wanijue?Lolz
Haya mimi naingia mtaani sasa kupata dinner leo nina hamu na dinner ya mtaani, nawatakia mjadala mwema wenye afya.
Am out.
 
Lizzy, hili swali lina jibu la wazi kabisa..

...hii pekee ndiyo yenye ahueni, i.e angalau mhusika unajijua thamani yako kwake.
 
Lizzy, hili swali lina jibu la wazi kabisa..

...hii pekee ndiyo yenye ahueni, i.e angalau mhusika unajijua thamani yako kwake.
Mbu jibu liko wazi ila kulipata kwenye mtihani ndio tabu. . .
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…