F hutamkwa "Fe"
G "Ge"
zingine sikumbuki....
teh teh teh ungemalizia mpaka z bana, au na wewe umesahau? Mimi nilijifunza hizo chekechea wakati ule tunaita ''shule ya vidudu'' lakini nimesahau. kama unakumbuka na j, k, l, m, n, o, p, r, s, t, v, w, n.k basi nikumbushe ili niwe nazitumia katika lugha yetu ya kiswahili. Kwasababu kuna maneno ya kiswahili lakini yakifupishwa tunalazimika kutamka kwa lugha ya kigeni wakati tuna lugha yetu inayojitosheleza.aa, be,che, de, ee,fe,he...mkuu vipi..hukupitia chekechekea nini!!!