Kutana hapa na vijana wa JamiiForums tulioamua kutatua tatizo la ajira nchini

Kutana hapa na vijana wa JamiiForums tulioamua kutatua tatizo la ajira nchini

Kabinti ka ludilo

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
409
Reaction score
468
Wakuu heshima kwenu,

Ilikuwa tarehe 25 December mwaka ulopita Mtwa Mkulu aliweka Tangazo akituhamasisha vijana tuungane tuache kuzunguka huku na huko kwani kwa sasa serikali imeshindwa. Haiwezi kutuajiri.

Tumekutana Mara nyingi na kufanya vikao mbalimbali, ni kwa mwezi mmoja tu tumepiga hatua kubwa,
Tunakatiba, tunashughulikia usajili pia tunaofisi.

Pia kuna eneo tumepata tunapigania kufanya kilimo. Ni matarajio yetu kwamba tutafanya mengi zaidi hapo baadae kutokomeza kabisa suala la tatizo la ajira.

Tungependa kupata member ambao waweza kuwa waajiliwa, wenye taaluma furani ambayo wanaona wataitumia kwetu kumaliza tatizo la ajira kwa vijana. Tunahitaji wataalamu wa kilimo ,wahusika wa ardhi hasa mashamba ili tufanye kazi hii kwa pamoja.

Haya ndiyo masuala tuliyo yafanya na hilo ndio ombi letu. Karibu kwa maoni na ushauri napatikana pia PM
 
Kilimo kipana sana kinaanzia malighafi ya kuingia shamba kinaishia sokoni "hatua moja toka mlaji wa mwisho"

Wazo lenu ni zuri ila ungetaja uhitaji halisi wa utaalam Ingekuwa vema.
afisa mifugo, kilimo cha matunda, mboga, nafaka, injinia wa mifereji, mhasibu wa kilimo, afisa biashara kilimo, mwongeza thamani mazao ...
 
Kilimo kipana sana kinaanzia malighafi ya kuingia shamba kinaishia sokoni "hatua moja toka mlaji wa mwisho"

Wazo lenu ni zuri ila ungetaja uhitaji halisi wa utaalam Ingekuwa vema.
afisa mifugo, kilimo cha matunda, mboga, nafaka, injinia wa mifereji, mhasibu wa kilimo, afisa biashara kilimo, mwongeza thamani mazao ...

Dadaangu angesema ataje hapa pasinge tosha tunahitaji wote wa kila idara ili vijana wote wa kila idara waweze kufikiwa
mi ni member pia
 
mtwa mkulu

wa dar tunakutana Ila wa mikoani bado tunakutana online[/QUOTE]

undeni serious group online ambalo mtkua mnakutana kupeana updates za projects zenu, inakuwa raisi kwa kila memba kupata taarifa tofauti na kusubiri vikao.
 
Last edited by a moderator:
mtwa mkulu

wa dar tunakutana Ila wa mikoani bado tunakutana online

undeni serious group online ambalo mtkua mnakutana kupeana updates za projects zenu, inakuwa raisi kwa kila memba kupata taarifa tofauti na kusubiri vikao.[/QUOTE]

Mkuuuu tumekuelewa mkuu
 
Last edited by a moderator:
Hongereni sana vijana. Mungu atawasaidia, ila nawashauri muendelee tu wataalam sio lazima wajiunge mnaweza kuwaomba wanapohitajika tu kwa malipo au kujitolea. Msijekukokota watu ambao hawana malengo wakawa mzigo. All the best
 
Nimependezwa sana na hii Idea Mungu awe wa kwanza cha pili mawasiliano ni muhimu mno mimi napatikana moro ila naamini ninaweza kuwa na mchango mkubwa tuwasiliane nipo insta#poultry_care au tumia zerosixfivefoursixonethreefourdoubleeight natarajia kusikia kutoka kwenu soon km kweli mpo serious usiwe uswahili
 
Back
Top Bottom