Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Tunaanzia Kawe Beach, Kisha tunaenda kusikiliza sera hapo Tanganyika Parker's, Kisha tunarudi bataniKawe ipi?
Personally I know buji, he is financially well-off. Huwezi hate kusimama nae licha ya kwamba Yuko simple, humble, decent and innocentNipo hapa tunakula vitu vyetu
Unaenda kwenye kampeni uchwara za kusikiliza Umbea wa wanasiasa uwape kula tafuta hela mzee Acha ujinga View attachment 1551734
Haya mpe kura za ndiyo basiPersonally I know buji, he is financially well-off. Huwezi hate kusimama nae licha ya kwamba Yuko simple, humble, decent and innocent
Watakuambia hii pia ni id yake[emoji1787][emoji1787]Personally I know buji, he is financially well-off. Huwezi hate kusimama nae licha ya kwamba Yuko simple, humble, decent and innocent
Heh!!!!Watakuambia hii pia ni id yake[emoji1787][emoji1787]
Vipi yule rafiki yako zezeta atakuepo?๐๐๐ถ๐ถHii si ya kukosa, hebu tukutane leo aiseee.
Kuna Reggae za kutosha, sweet, dancehall, roots.
SAMAKI ni kama woooooote, hebu fanya tuipendezeshe weekend yetu kwa samaki choma na divai na mvinyo.
Karibuni sana
Kwa vyovyote vile hii picha ilipigwa nyakati za JayKay.Nipo hapa tunakula vitu vyetu
Unaenda kwenye kampeni uchwara za kusikiliza Umbea wa wanasiasa uwape kula tafuta hela mzee Acha ujinga View attachment 1551734
HapanaKwa vyovyote vile hii picha ilipigwa nyakati za JayKay.
Picha yenyewe imekaa kizamani zamani.Hapana
Ulisikia wapi??
Usimwite zezeta, mwite MfalmeVipi yule rafiki yako zezeta atakuepo?๐๐๐ถ๐ถ
Weka namba yako tukutafteHii si ya kukosa, hebu tukutane leo aise.
Kuna Reggae za kutosha, sweet, dancehall, roots.
SAMAKI ni kama woooooote, hebu fanya tuipendezeshe weekend yetu kwa samaki choma na divai na mvinyo.
Karibuni sana
Nipo hapa tunakula vitu vyetu
Unaenda kwenye kampeni uchwara za kusikiliza Umbea wa wanasiasa uwape kula tafuta hela mzee Acha ujinga View attachment 1551734
Ofisaaa...... ๐ฎ๐ฎUsimwite zezeta, mwite Mfalme
Tuma picha ili tusipoteane hapo sisi wengine waarabu ๐
Hii si ya kukosa, hebu tukutane leo aise.
Kuna Reggae za kutosha, sweet, dancehall, roots.
SAMAKI ni kama woooooote, hebu fanya tuipendezeshe weekend yetu kwa samaki choma na divai na mvinyo.
Karibuni sana