Atlantis
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 383
- 513

Duniani kunamambo, huyu jamaa anapesa si mchezo, anawatoto watano aliozaa nao na wanawake wawili tofauti na sasa jabadili jinsia sasa sijui hao watoto wake wanamuonaje aisee! soma zaidi kuhusu huyu jamaa/mdada hapa https://bongoscoops.wordpress.com/