NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,297
- 14,588
- Thread starter
-
- #21
Mkuu maeneo nyuma ya chuo cha kiislamu vip viwanja vinasimamaje kule,,karibu na uwanja mdogo wa ndege
Mkuu mvua vipi uko kwa leo
Hapa mjini Hakuna mvua Ila mvua inanyesha vijijini
Kivipi mkuuMkongwe utakua umezeeka, hauna maarifa mapya, embu tupia number za madalali wakisasa
KAMA UNAHITAJI KUPANGA KUPANGISHA KUNUNUA AU KUUZA VYUMBA, FLEMU AU VYUMBA MASHAMBA VIWANJA PAMOJA NA OFISI NDANI YA MOROGORO
WASILIANA NAMI
0673707284
0623246897
Nahitaji kibanda ndani ya aoko lolote
Nahitaji kibanda ndani ya soko
Nahitaji kibanda ndani ya soko
Mkuu wewe tu karibu
Kinapatikana??bei sh ngap??
Mkuu jibu kwanza swali hapo JUU vip unahitaji kwenye mnada au
Halafu ulisema utakuja lakini ukakaushaKinapatikana??bei sh ngap??
Halafu ulisema utakuja lakini ukakausha
Tatizo hupokeagi cm kwa wakati
Chumba cha kawaida (single) ni kiasi gani?KAMA UNAHITAJI KUPANGA KUPANGISHA KUNUNUA AU KUUZA VYUMBA, FLEMU AU VYUMBA MASHAMBA VIWANJA PAMOJA NA OFISI NDANI YA MOROGORO
WASILIANA NAMI
0673707284
0623246897