Kutana na dalali mkongwe Morogoro mjini

nitapata kiwanja cha mil 1.5 maeneo ya mukundi?
Mkuu kipo cha M6 Huku mkundi ni mjini maana cha milioni Moja kidogo sana Na sizani kama unaweza kupata ilikua jaman Sasa hivi pamepambazuka.
 
Hivi naomba nkulize mkuu
Hivi nyumba iko karibu na shule ya bungo
Ina Angalia ile barabara ya lami inayoenda midizini
Kodi kwa mwezi inakwendaje?

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…