NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,297
- 14,588
- Thread starter
-
- #81
Okey mkuu nishapajua pale usijal ngoja nitakupa jibu mkuuuKingo ipo huku mkundi ukifika shell unakata kona kulia (ukiwa unatoka mjini) kuna barabara la vumbi unalifuata hyo kuna mtaa wa Kingo pia kuna shule ya secondary Kingo kuna viwanja vya kutosha hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kuna kiwanja kinauzwa hapa chamwino milioni Moja Na nusu kama upo tayari karibu kutoka chamwino mpaka Mjini nauli ni SHILINGI Mia 4Kiwanja cha milion 1 kinapatikana??
Chamwino maeneo gan?Mkuu kuna kiwanja kinauzwa hapa chamwino milioni Moja Na nusu kama upo tayari karibu kutoka chamwino mpaka Mjini nauli ni SHILINGI Mia 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Si unajua chamwino kubwa mkuu...Mkuu kuna kiwanja kinauzwa hapa chamwino milioni Moja Na nusu kama upo tayari karibu kutoka chamwino mpaka Mjini nauli ni SHILINGI Mia 4
Sent using Jamii Forums mobile app
Si unajua chamwino kubwa mkuu...
Tupendane
@magengeni
@kwa baghdad
sambamba
nanasi
@kwa mkude
@kiholelo au???
Sent using Jamii Forums mobile app
wanalima nini? kuna maji?MASHAMBA YA KULIMA
ENEO: MIANZI WILAYA YA MVOMERO.
BEI : LAKI SITA KWA EKA
MAWASILIANO : 0623246897, 0673707284
KARIBUNI[emoji115][emoji115][emoji115]
Wewe ni dalali uchwara tu hakuna hata mtu mmoja aliyekutafuta umeweza kumpatia nyumba wala kiwanja. Kenge weweHabari zenu wakuu!! Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye point ili nisiwachoshe,
Kwa mahitaji ya NYUMBA, VYUMBA, VIWANJA, VITU VYA NDANI VILIVYOTUMIKA NA NK. ndani ya mji wa morogoro mjini dalali nipo hapa
Na pia kama una nyumba au kiwanja unauza au unapangisha usisite kunitafuta .
Mawasiliano 0673707284
What's app no 06236897
KARIBUNI WAKUU[emoji120]
location yako ni moro town tuHabari zenu wakuu!! Naomba niende Moja Kwa Moja kwenye point ili nisiwachoshe,
Kwa mahitaji ya NYUMBA, VYUMBA, VIWANJA, VITU VYA NDANI VILIVYOTUMIKA NA NK. ndani ya mji wa morogoro mjini dalali nipo hapa
Na pia kama una nyumba au kiwanja unauza au unapangisha usisite kunitafuta .
Mawasiliano 0673707284
What's app no 06236897
KARIBUNI WAKUU[emoji120]
Ndio mkuu Lakin kama unataka mashamba vijijini pia unapata kwa vyumba ni moro mjini mkuulocation yako ni moro town tu
Andika Uzi wako waulize ni wangapi nilio wapatia vyumba siyo unaropoka tu Mzee!!!Wewe ni dalali uchwara tu hakuna hata mtu mmoja aliyekutafuta umeweza kumpatia nyumba wala kiwanja. Kenge wewe