Kutana na DEEJAY(dj) maarufu Duniani anayetumia Simu ku mix Muziki na matangazo

DJ Namilson in the mix.

Aisee sema mixing nyingi sana kwahiyo inakua kama vurugu ila kazi nzuri.

Vipaji kama hizi vingeenda RFA, Wasafi au Clouds.

JamiiForums wakianzisha Radio Stations, haukosi chance behind the wheel.
 
Ok
 
Don kama Don mtu mbadi na matalent kibao.

Hatari sana mzee baba...!
 
Back
Top Bottom