Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
Sikualikwa.Brother Don vipi album yako ?
Wasanii walikua DODOMA na Mh Rais hukualikwa kama msanii?
HahaWacha we Dj khaleed wa bongo
1.Tunataka nafasi ya DJ Khaleed
AmeeenLegend
OkDJ Namilson in the mix.
Aisee sema mixing nyingi sana kwahiyo inakua kama vurugu ila kazi nzuri.
Vipaji kama hizi vingeenda RFA, Wasafi au Clouds.
JamiiForums wakianzisha Radio Stations, haukosi chance behind the wheel.
Kuna vitu vya kusema ni vipaji you ni uhuni uhuni tu na nyota ya mtu....pumbavHaha
Hasira za Nini?Kuna vitu vya kusema ni vipaji you ni uhuni uhuni tu na nyota ya mtu....pumbav
Sio hasira Sasa mbna kila kibaka mtaani navwviv Viv na wapenda ngono wote Wana vipaj maana ndio viharakat vyaoHasira za Nini?
Ni wivu tu wanakuonea mkuu,ila hapo kwenye profile Mbona ni kama unawakilisha mabeberu,angalia mkuu teuzi bado zinaendelea usikose.Hasira za Nini?
Kama udj ni kipaj bas vibaka wote wanavpajNi wivu tu wanakuonea mkuu,ila hapo kwenye profile Mbona ni kama unawakilisha mabeberu,angalia mkuu teuzi bado zinaendelea usikose.