Fundi mahiri wa ujenzi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 4,159
- 2,844
- Thread starter
-
- #541
25m- Nyumba ya vyumba vitatu kimoja kiwe master bedroom
- makadiri bei gan kwa kuisimamisha mpaka bati.
Picha zaidi utazipata ktk page yangu ya istagram. Fundi mahiri wa ujenziView attachment 862778
Fance Inaukubwa gani?Natafuta fundi mzuri wa kunifanyia finishing fance ya nyumba yangu nataka fininshing simple but unique. Site iko Arusha.
Meter kama 18×2+20×2Fance Inaukubwa gani?
Picha zaidi utazipata ktk page yangu ya istagram. Fundi mahiri wa ujenziView attachment 862778
Hii umejenga ni ya kizungu?